Kinilamba (au Kinyiramba, pamoja na lahaja ya Kiiambi) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wanilamba. Mwaka wa 2016 idadi ya wasemaji wa Kinilamba imehesabiwa kuwa watu 682,000, ambao 50,000 ni Waiambi.
Hii lugha inazungumzwa katika maeneo ya wilaya ya Iramba mkoa wa Singida.
Tunatamani mno kuueneza ujumbe wa habari njema nchini kote Tanzania. Naomba uungane nasi.